Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Mchungaji alijilipua 😂
Haya
Wakristo tunatubu kwa Mungu wa Mbinguni sirini..Lowassa naye alitakiwa kutubu kwa Frederick Sumaye na Salim Ahmed Salim.
..genge lao la wanamtandao lilihusika kuwaandama na kuwachafua wenzao.
Wakristo tunatubu kwa Mungu wa Mbinguni sirini
Wakristo tunasamehe bila kuombwa msamaha " Baba utusamehe kama sisi tunavyosamehe"
Ndio Rostam Aziz amesema Lowasa alikuwa MchaMungu!
Aliyekosewa huwa haombi kuombwa msamaha bali anasamehe automatically..kama Lowassa hakutubu na kuwaomba msamaha Sumaye na Salim basi na yeye anakosa uhalali wa kuombwa msamaha kwa aliyotendewa.
hiyo sumaye ni matako mr zero. ni limtu la hovyo kupata kutokea...kama Lowassa hakutubu na kuwaomba msamaha Sumaye na Salim basi na yeye anakosa uhalali wa kuombwa msamaha kwa aliyotendewa.
Vyama vyote vikibwa yeyote angeshinda ilikua ni lazima afie madarakani kwa awamu ya tano.Ina maana lowassa nae angefia madarakani
Mzee wa Upako kapiga full volume full blast.
Ulishiriki kumuandika na kumtukana kwenye LIST OF SHAME huna uhalali wa kuchangia kwenye huu uzi.Minmi sichangii huu uzi