Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
hahah noma mkuuDah hizi picha ni kweli aisee. Unafikiri someghing kumbe nothing
Duuhh hapa macho 6 yanahitajika kwa haraka haraka lazma fikra zingine zikuelemee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli kabisa nimeshindwa kuielewa picha yenye namba FB_IMG_155397395 hasa jwa huyo dada aliyemwegemea mwezio ambaye anaonekana ana nguo yaan sielew naomba kueleweshwa.
Sent using Jamii Forums mobile app