Picha: Amber Lulu akipelekwa kituo cha Polisi cha Urafiki kisa picha chafu

Picha: Amber Lulu akipelekwa kituo cha Polisi cha Urafiki kisa picha chafu

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
Msanii wa muziki na video vixen, Amber Lulu Jumanne hii alipelekwa kituo cha polisi cha Urafiki Ubungo jijini Dar es salaam kueleza kama anahusika katika kusambaza picha chafu mtandaoni ambazo zinamuonyesha akiwa nusu uchi na rapa Young Dee.

Amber.jpg


Kwa mujibu wa taarifa ambazo tumezipata, zinadai kwa sasa muimbaji huyo yupo nje baada ya kuhojiwa kwa masaa machache kuhusiana na tukio hilo.

Akiongea na Bongo5 Jumaatano hii shuhuda wa tukio hilo ambaye hakutaka jina lake litajwe, amesema mrembo huyo alishikiliwa na kituo hicho kwa masaa matatu na baada ya hapo aliachiwa.

“Ni kweli Amber Lulu alikuja na tulimuona hapa kituoni jana kama jioni jioni hivi,” alisema shuhuda huyo ambaye hakutaka atajwe jina lake.

Shuhuda huyo alidai mrembo huyo alifika kituoni hapo akiwa na team yake ya uongozi kutoka Afrika Kusini pamoja na uongozi wa Young Dee.

Bongo5 ilimtafuta meneja wa Young Dee ili kuzungumzia sakata hilo lakini meneja huyo hakuwa anapokea simu hata hivyo alivyotumiwa meseji alisema bado wanalishughulikia tatizo hilo na pale watakapokuwa na taarifa rasmi wataitoa kwa jamii.

Amber3.jpg
Amber4.jpg
Amber.jpg


Bongo5
 

Attachments

  • Amber2.jpg
    Amber2.jpg
    83.2 KB · Views: 163
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] utandawazi akili zi tupu.
 
Hao jamaa aliyeongozana nae ndo umpiga picha za uchi!?


mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Huyo dada nyeti zake zinakoma afanyaje tena hapa mjini
 
Amber Lulu?
Mi nimependa pafomansi yake kwenye video ya Gigi Money - Papa

 
Yaani huyu, mwanae atakaekuja mzaa tayari keshakula hasara, "mama hana"[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom