Hv kweli ataweza kuja kuwalea watoto wake kwenye maadili wakati ye ujana wake ndio hivyo? Mh[emoji17] kazi kweli kweliDah aisee hao watoto sijui watakuwaje
Mkuu picha zipi unahitaji zile alizotupia mitandaoni au wakati akihojiwaPicha muhimu ili thread ijitosheleze mleta mada fanya mamb thatha
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta hizo picha tuone Kama kweli yupo uchi
wangemlaza ndani uchi kwa masaa 24....si anapenda kukaa utupu!!!