Picha: Angalia jinsi daladala wanavyojiongeza na level seats

Safi sana kumbe level seat inawezekana hata bila tishio la corona!!!!! natamani utaratibu huu uendelee hivihivi hata baada ya janga la corona kwisha. Mbona kenya iko hivo, sisi tunakwama wapi.?
 
Wapo ambao wamechomelra kabisa viti hiyo corido yote. Viti vya kukunjua hivyo unakuta ana abiria kama sita wanakaa.
 
Muafrica anahitaji fimbo kuelewa sio elimu

Yaan walichofanya ni kama vile wameambiwa Corona inaenea kwa kusimama kwenye gari sio msongamano

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakikaa kwenye siti hamna kugusana? Lengo la kuzuia watu kusimama ni kwamba sehemu ya kusimama watu sita watasimama watu 30. Kwa siti hizo wala sioni tatizo la ugonjwa kuenea, ishu hapo ni siti sio salama ikitokea imefungwa breki ghafla mnaweza jikuta kwenye kioo cha dereva.
 
Matusi yanakujaje hapa!!? Mbona yalikuwa ni maoni yangu tu!?

matusi kila mtu anaweza ila hapa si mahala pake"

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna tusi lolote ndugu. Upoyoyo = kutojua kitu ambacho ulitakiwa kukijua. Ukisoma na kumaliza shule ya msingi lakini hujui kusoma na kuandika unaitwa upoyoyo.
 
Huu ni upumbavu and its nota acceptable.
Hivyo viti ni hatari sana . Kwa sababu ni mobile.
Matrafiki wako wapi??
 
Safi kabisa Wengine wamechomelea vya Chuma
Hii system iendelee hivi hivi Ni mfumo mzuri kwa afya ya akili, Una feel Safe, unakua huru kiakili na kimwili [emoji1][emoji1][emoji1]
Ni Swala la Madon kuongeza Magari
Bora waliochomelea kuliko hawa .
 
N
Huu ni upumbavu and its nota acceptable.
Hivyo viti ni hatari sana . Kwa sababu ni mobile.
Matrafiki wako wapi??
Namba ya hiyo gari ninayo MKUU na huu mchezo nimeambiwa umeenea Kwenye Mabasi mengi ya huku Chamazi,mbande na kisewe
 
Huu ni upumbavu and its nota acceptable.
Hivyo viti ni hatari sana . Kwa sababu ni mobile.
Matrafiki wako wapi??
[emoji1][emoji1][emoji1] Daaah Haya bwana
Kwaiyo Wewe mheshimiwa unaona nini kifanyike ?? Tuone mchango wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…