Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Sasa watu wanavyojaa vituoni ndo utachokaMuafrica anahitaji fimbo kuelewa sio elimu
Yaan walichofanya ni kama vile wameambiwa Corona inaenea kwa kusimama kwenye gari sio msongamano
Sent using Jamii Forums mobile app
Chamsingi tungeongeza nauli kutoka mianne Hadi elfu moja tukaruhusu mabus makubwa Kama youtong kubeba abiria mijini,Mkuu ww ndo hujatafakari vzr kuhusu kauli ya serekali kwa daladala, ni hivii... Ile seat ya nyuma huwa wanakaa watu 5. ( Haijakatazwa) sasa kuna ubaya gani hizi seati nyingine zikiunganisha katikati na watu waka kaa watano!!?
Kama ingekuwa shida ni msongamano hata seat inayokaliwa na watu wawili bado watakuwa wamebanana!
Ukiangalia nafasi inayotakiwa kuachwa kati ya mtu na mtu kwa ( kujikinga na corona) kwa gari kama coaster labda wangepanda abiria 9 tu na dereva awe wa 10.
Waendesha daladala wameji0ngeza vzr!
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππMwafrica-mtanzania amezidi kuwa mwehu zaidi,nahisi Sisi wabongo akili zetu zinahitaji kupepewa
Tatizo kipande mzee, hapo wanapokaa mtu mmoja mmoja, inatakiwa wasimame watatu na kuendelea.Safi kabisa Wengine wamechomelea vya Chuma
Hii system iendelee hivi hivi Ni mfumo mzuri kwa afya ya akili, Una feel Safe, unakua huru kiakili na kimwili [emoji1][emoji1][emoji1]
Ni Swala la Madon kuongeza Magari
Hiyo inaitwa level seat premier pro.
Dereva akipita kwenye tuta unadunda na kastuli kako, saafi.
Uko sawa kabisa, mie nimevaa shati jirani yangu kavaa Dera xitagusana nguo tu na akipiga chafya unakutana na mask huku haraka natoa sanitizer kujifukiza mwiliKilichofanywa ni kupunguza Msongamano sio kuongeza
Hivi huoni watu wanao simama wako kwenye hatari zaidi kuliko waliokaa?
π π π π π
Sasa walivyofanya hivyo kuna tofauti gani na zile seat za kukunjua zinazokua katikati.Usionyeshe upoyoyo wako hadharani namna hii basi. Mpaka anayesoma anaona aibu kama ndiye aliyeandika ujinga kama huu!
Kwanini unajifanya kama huna akili? Unajua ni kwanini wamesema watu wasisimame? Nia ni kupunguza mlundikano wa watu i.e. kupunguza idadi ya watu kwenye daladala ili kupunguza uwezekano wa maambukizi.Sasa walivyofanya hivyo kuna tofauti gani na zile seat za kukunjua zinazokua katikati.
Mambo mengine tujadili kwa upana wake. Jiweke kwenye viatu vya hawa makondakta utajua ni kwanini wanafanya hivyo. Usibwabwaje tu humu.