Picha: athari ya mvua Huko mtaani kwako Hali ipoje?

Kila changamoto yoyote huja na fursa ndani yake, acha wengine wafurahie hali, hasa mafundi ujenzi.
 
Niko kwa MANING NICE ndio kwanza tumeipita RUFIJI hakika MAGUFULI alikuwa laana juu ya nchii....kuna maji mpaka unahisi kuwaona mamba kwa uoga
Magufuli ndo kaleta hii mvua mkuu? Nyie si ndo mlisema mvua hazitanyesha sababu alikata miti milioni 2 😂

Mafuriko yako pande nyingi za nchi, huko Arusha pia sehem nyingi ni vilio. Karatu wanakuambia mafuriko ya mwaka 1977 ndo yamerudi hivi sasa, Dar hii hii yenyewe ina mafuriko, majirani zetu hapo Kenya nao ni vilio watu wanaishi juu ya mapaa kama kunguru.

Huko Rufiji kama sio bwawa hali ingekuwa mbaya zaidi ya hapo.
 
Umemaliza kiongozi ...
 
e
Exactly, at one time kulikuwa na kijana mmoja anaitwa Uhanga. Alikuwa na nyege sna (ashukumu si matusi, samahani) na kutafuta wanawake sana ie na uhitaji wa ngono mkubwa sana. basi kipimo cha nyege kikawa UH, UH+, UH++ and UH+++.
Mzee Punch alikuwa anawaanika watu kama hao kwa kuwachora maana simu za leo hazikuwepo kupata picha ya mtu au ku google! Mzee Punch alikuwa anatoa warning kuhusu temparing na publication zake kwenye sacred wall pale Manzese cafeteria! People were warned NOT TO TEMPER WITH MZEE'S PUBLICATIONS OTHERWISE YOU WILL FACE THE CONSEQUENCIES
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…