Picha: AY na wasanii wengine wakiwa Ikulu ya Marekani

Ngoja na mimi nijipe kazi.

AY ndio msanii wa kwanza Mtanzania kukanyaga white house.

Sisi watoto wa upanga hatunaga kelele haya ni mambo ya kawaida sana kwetu.

Narudi kwa compyuta kukupa like
 
ANGEKUWA diamond pultnumz MPAKA BIBI YANGU WA MIAKA 89 ANGEJUA.
MANINAA!

Ha ha haaaaa! Jamani si kosa lake ni magazeti njaa yaliyojaa makanjanja ambao hata ukimkatia buku kumi kesho yake atakupamba!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ngoja na mimi nijipe kazi.

AY ndio msanii wa kwanza Mtanzania kukanyaga white house.

Sisi watoto wa upanga hatunaga kelele haya ni mambo ya kawaida sana kwetu.

we tutuSa acha Kudanganya we unakaa segerea Kwa shemeji yako
 
Hahahahaha jf Kuna vituko yani huu uzi unani vunja mbavu sana daa!
 
Hongera AY....angekuwa domo..magazet ya udaku story ingekuwa hyo.
 
siku hizi ikulu ya marekani ni kama ikulu ya bongo tu kila mtu anaweza kwenda.
Soon tutasikia Lulu, Masogange na Diamond nao wamealikwa
 
Hahahahaha jf Kuna vituko yani huu uzi unani vunja mbavu sana daa!
Cheka unenepe mkuu, by the way tshirt za mapokezi siku anarudi mimi ndio supplier tunachapisha kwa order maalum nione inbox to press ur order.
 
Sasa hawa wengine na hayo manywele ndio ushamba gani utafikiri yale makatuni ya Advertising mbona waafrica hatuma identity sasa huyo mwanaume ameenda kusuka marasta ya kidada maana yake nini, kaniboa sana.
 
Mkuu hao wamechagua kuvaa hivyo na wanajihisi huru zaidi kuvaa hivyo na kuweka nywele zao hivyo!
 
Sasa hawa wengine na hayo manywele ndio ushamba gani utafikiri yale makatuni ya Advertising mbona waafrica hatuma identity sasa huyo mwanaume ameenda kusuka marasta ya kidada maana yake nini, kaniboa sana.

huyo mdada na nywele za kibluu km katuni uko juu...!!!@warumi
 
Wala sisi Marekan tumeshazoea tangu tuko nursery study tour zetu ni desney land.

Lol!....na mlivokuwa high school study tour Hollywood!,shopping ya mikanda na viatu Italy......mfyuuuuu!
 
Lol!....na mlivokuwa high school study tour Hollywood!,shopping ya mikanda na viatu Italy......mfyuuuuu!
Mbona umepanic?

Nakupa dedication ya song la East coast Team, Leoooo.

Mkuu BAK nisaidie kumshushia hii video imliwaze huyu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…