Picha: Baadaye robot ambao ni atheists watakuwa wanaamini hivi

BInadamu wa kwanza alitizaliwa na nani?
Kwa utofauti wa vinasaba(DNA), na rangi uliopo kati ya binadamu, Je unadhani kuna binadamu wa kwanza kwa watu wote?

Kuna waafrika weusi, wazungu weupe, wajapani, wachina, wafilipino n.k

Huyo binadamu wa kwanza alikuwa mweupe au mweusi?
 
Na robot ataanza kufikiri Binadamu ndo katengeneza ulimwengu wote๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ