Picha Banker1

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720

yes...
 
Attachments

  • banker1.jpg
    121.8 KB · Views: 164
  • banker1.jpg
    121.6 KB · Views: 119
Unoko utapunguza lini...
 
Unless mwenyewe anajua anauzishwa sura humu...hii kitu haijatulia!
 
Yoyo analipa huyu.........

Usimuache hata kidogo, nice smile
 
Hahahahaha!Unahamia moja kwa moja au mwaka huu tu?

kwa kauzoefu kangu, ukipigwa kibuti kimoja basi tegemea vingine kibao mfululizo, nahisi michelle kanitosa kiprof.. zaidi nahamia mwaka huu tu.. mambo yakiwa mazuri narudi:rain:
 
kwa kauzoefu kangu, ukipigwa kibuti kimoja basi tegemea vingine kibao mfululizo, nahisi michelle kanitosa kiprof.. zaidi nahamia mwaka huu tu.. mambo yakiwa mazuri narudi:rain:
Sasa ukiwa lockup utajuaje mambo yamekua mazuri??We mtoto wa kiume pigana na vibuti!
 
Sasa ukiwa lockup utajuaje mambo yamekua mazuri??We mtoto wa kiume pigana na vibuti!

Ngoja nipate transparent alcohol labda kichwa itatulia kdg. Maneno yako tu yananirudishia mori wa kukomaa.. :hat:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…