Picha: Ben Paul ndani ya Emirates first class to USA

Hivi Ebitoke ni kweli au walikuwa wanaigiza?
 
Mkuu umeongea point kubwa sana

Yaani bongo celebs wengi wanaishi kama mtu mwenye kipato cha 450K kwa mwezi..yaani hakuna utofauti,utofauti ni ile media spotlight tu..
 
Mkuu umeongea point kubwa sana

Yaani bongo celebs wengi wanaishi kama mtu mwenye kipato cha 450K kwa mwezi..yaani hakuna utofauti,utofauti ni ile media spotlight tu..
hahah ndio maana wasanii wanadharaulika sana na wengine wamejiongeza na kuanza kufanya maisha kivingine.

Hivi unajua lamar kaacha production ya mziki ana carwash na anakaanga chips mkuu?😄😄😄 Wengine ni wengi wanaachana na usanii na kufanya biashara zingine tu kushona, kupikapika yote ni kuepuka hio fedhea. Kama Mpoki kakimbilia Efm kule kupiga utangazaji.
 
Kutuma na ya kutolea ndio mpango[emoji108]
 
True that..

Ila Nigeria hapo wasanii wa level ya kati tu wana mabangaloo ya hatari na wanapush RR za maana..Bongo nyoso sana
 
True that..

Ila Nigeria hapo wasanii wa level ya kati tu wana mabangaloo ya hatari na wanapush RR za maana..Bongo nyoso sana
bongo wametoboa wasafi tu hadi tunahisi ipo namna😀😀😀
 
Maendeleo hayana chama.
 
Mkuu karibu jukwaa la siasa
 
Sio kama napenda mteremko mkuu, nimejaribu kuvaa viatu vya machalii wa town tu. Ni mwamba mwenye njaro zangu ila huwa nawadiss mamanz njaa kali pia.
Exodus ni mikato tu!
 
The b.tch in this case calls the shots, and she's had a bunch of ex bfs already. That being said, Ben Pol shouldn't get too comfy and greedy. At any rate, this relationship won't last long.
 
Bibie na wewe katafute danga lako likupetipet acha danga la watu mwenzako kadata na jang'ombe la dar wewe nani kadata na yako??
Unaambiwa mjini kucheza kwa stepu kukanyagana ndio soo .
Diamond afanye kazi ipi?? Kila mtu yupo sawa na ben paul ila kisa haitusaidii basi naangalia kwa macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…