Picha: Billionea ampangishia Lulu jumba la kifahari

Ha ha ha ha haya bwana jirani

Jirani leo nataka niende white sands kule, kuna mtu kanipa mtonyo kuna mastaa wanafanya yao kule, so baadae ntatia timu na camera yangu mbona watafurah??
 
Jirani leo nataka niende white sands kule, kuna mtu kanipa mtonyo kuna mastaa wanafanya yao kule, so baadae ntatia timu na camera yangu mbona watafurah??

Binamu lulu c yuko na riz au ilikua tetesi tu
 
Kashaachwa mda, alimpangia kule tegeta alikoama, sasa ivi sijui anatoka na babu gani, ridh kashatemana nae mda tu

Basi yuko n billionea wetu muzee y pesa ila jamaa yuko poa huwa namuona n lulu mount meru hotel kwa kujifichaficha
 
Namjua sana toka 2007 ila ni mtu wa kimyakimya sana huwa anafanya kazi hku ila familia yake inaishi mbezi beach

Duh, kwa hiyo jamaa akaamua kumpangia karibu na familia yake ili afaidi vizur
 
Aaahaha aaha, naona tegeta kwa ridhi kahama, sijui nani kampangishia uko mbezi beach

kwahiyo rizione katemwa?duuu.sasa hiyo familia ya lulu akiwaambia leo nahamia bagamoyo wanamfuata.mweee..umaskini mbaya sana.
 
kwahiyo rizione katemwa?duuu.sasa hiyo familia ya lulu akiwaambia leo nahamia bagamoyo wanamfuata.mweee..umaskini mbaya sana.

Lulu anakwambia ridh mbahir atoi pesa ovyo, kashazoea mabwana zake wa migodini wanamwaga hela kama mchanga
 
Dinazarde siku izi na mimi nimekuwa kuwadi aka dalali, anayetaka madanga/mabuzi ya kuwachuna arusha na jijini dar ani PM, kuunganishwa na pedeshee ni elfu 20 tu , jiunge sasa uuage umaskini

Hhhhhhhaaaaa hakuna siku umenichekesha kama leooo sasa boresha tangazo basiiii halaf hilo tangazo unalitupia MMU,na JUKWAA LA WAKUBWA mbona wateja utawapataa binamu ila umenichekesha ahsantee sanaaa
20000 mbona ndogo bina au pedeshee watakupa pesa tena mbona hujaweka vigezo ina maana hao mademu wa aina yoyote
 
Last edited by a moderator:
Hhhhhhhaaaaa hakuna siku umenichekesha kama leooo sasa boresha tangazo basiiii halaf hilo tangazo unalitupia MMU,na JUKWAA LA WAKUBWA mbona wateja utawapataa binamu ila umenichekesha ahsantee sanaaa

Nipishe mie, natumia fursa, ukipata ujumbe huu, mtaarifu na mwenzio, sema hapana kwa umaskini, mabuzi wapo wa kumwaga , wahi nafasi ni chache

Umetafuta mabuzi mda mrefu bila mafanikio? Umechezewa sana na kuambulia bia mbili? Umechokonelewa sana tigo bila kupewa hata vits?, bado hujachelewa unayo nafasi, amka na usimame tena, warumi foundation ipo kwa ajili yako.

Unatamani kuendesha audi q7 kama mama ubaya? Je umechoka kuishi tandale na unataka kupangiwa nyumba nzuri mbezi beach kama lulu?, je unatamani kutumia galaxy note 3 kama lucy na huna uwezo wa kununua?, warumi yupo kwa ajili yako, wahi nafasi ni chache
 
Last edited by a moderator:

Bina ungeweka namba ya simu sasa watakupatajeee na kiwango hujawekaa wengine hawajui pm
Wasisahau na ukimwi upo wa kumwaga auu je kwa wale wanaotaka mademu yaan wanaume wanaotaka mademu kwiiiiiiii kwiiiiiiiiii
 
Wani PM tu binamu, nafasi zipo chache, watakaowahi watapata madanga wa maana nchini dubai, south africa na canada
 
Wani PM tu binamu, nafasi zipo chache, watakaowahi watapata madanga wa maana nchini dubai, south africa na canada

Bina tangazo lako kaliweke pia love connect,vip kwa wale wanaotaka serenget boys,or shugamamii hhhhhaaaa vipiii nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…