Picha: Billionea ampangishia Lulu jumba la kifahari

Keshaanza kutuchoshaa huyu mtoto anafata nyayo za Wakubwa wake walokua vichwa maji....wanaenda kutunza huku waZee wao wanakufa njaa....
 
Warumi...mi namtaka Yule Esha buheti Mtoto Mzuri sana
 
Haki ya Mungu warumi una matatizo hahahaha, nimecheka hilo tangazo la Warumi Foundation, yani ni mwehu wewe uwiiii
 
Last edited by a moderator:
Haki ya Mungu warumi una matatizo hahahaha, nimecheka hilo tangazo la Warumi Foundation, yani ni mwehu wewe uwiiii

Changamkieni fursa jamani loh, watangazieni na wengine
 
Last edited by a moderator:
Changamkieni fursa jamani loh, watangazieni na wengine

Madame B hajaliona tangazo
Halaf kuna wale anakuunganishia danga halaf akula kwanza ndio anakupeleka kwa danga we upande wako upojee
 
Last edited by a moderator:
Daaa
Kweli naanza kuamin ule usemi wa usishindane na mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…