Picha: Binti anamaanisha kuwa hapendi kutolewa mahari

Picha: Binti anamaanisha kuwa hapendi kutolewa mahari

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Screenshot_20220903-201444.png


Ametoa kauli fikirishi Sana. Nami najiuliza kwanini wazazi wanabadilisha mabinti zao na fedha, ng'ombe, mashuka, mikuki, pombe na majembe?
 
Anaona thaman yake inalinganishwa na ng'ombe.
 
Yuko sawa kabisa,

Mtu mmoja alipata kunambia mahari ni heshima kwa mtoto wakike.

Nikamuuliza mbona wanawake wakinyanyaswa kisa wametolewa mahari iyo heshima waliyoipata haiwezi kuwasaidia?? Akakosa majibu.

Basi nikahitimisha iyo ni heshima ya kishenzi tu haina msaada wowote
 
Swala la mahari lipo tangu enzi za mababu zetu, na hata kwenye biblia limeandikwa.

Wala halihusiani na biashara ya kuuza na kununua mtu.

Mahari ilitolewa kwa mwanamke BIKRA tu!

Sasa huyo kashahangaika na matango na makaroti hawezi kuelewa thamani ya Mahari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom