Kujua mapenzi ukubwani mbaya sana!
Huyu na mwigulu hua hawapendwii jamanii lo
Umri Miaka kama 50,umbo miaka kama 50 hivi,akili na matendo kama kijana wa miaka 15!!
Only totoz were invited hahahahaha!!!!!
Umri Miaka kama 50,umbo miaka kama 50 hivi,akili na matendo kama kijana wa miaka 15!!
Huyo Hamisa kawa mweupe hivyoo anafanana na wachina halaf
Umri Miaka kama 50,umbo miaka kama 50 hivi,akili na matendo kama kijana wa miaka 15!!
acha umbea
Yani mkuu huyu jamaa huwa nashundwa kumwelewa kabisa
Ana mambo ya kitoto toto sana
Watu kama hawa ni janga kubwa kwa taifa letu!
wewe unapendwa?
Mke mwenzangu hiv hujuii umbea ndio ulikufanya hadi ukapewa talaka tatu