BANGO JEUPE JF-Expert Member Joined Nov 21, 2015 Posts 3,079 Reaction score 2,152 Dec 18, 2016 #1 Bei tsh 1300,000 Niko dar es salaam Maelewano yapo Ilikuwa kwa matumizi ya nyumbani so bado iko katika hali nzuri Simu:07182 95 182 --------------------------- Bango
Bei tsh 1300,000 Niko dar es salaam Maelewano yapo Ilikuwa kwa matumizi ya nyumbani so bado iko katika hali nzuri Simu:07182 95 182 --------------------------- Bango
Medecin JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,221 Reaction score 22,496 Dec 18, 2016 #2 Sikukatishi tamaa mkuu ila pikipiki yenye namba za zamani ni ngumu kuuza labda uibadilishe mwenyewe namba kuwa MC hapo utauza angalau maswali yangu kabla ya kuiona ina tatizo gani inadaiwa sh ngapi na TRA kadi imeandikwa jina lako au la kampuni je unaweza kukubali malipo kwa awamu yaani unabaki na kadi/pikipiki mpaka malipo yakamilike within time bei ya mwisho sh. ngapi 0718151415
Sikukatishi tamaa mkuu ila pikipiki yenye namba za zamani ni ngumu kuuza labda uibadilishe mwenyewe namba kuwa MC hapo utauza angalau maswali yangu kabla ya kuiona ina tatizo gani inadaiwa sh ngapi na TRA kadi imeandikwa jina lako au la kampuni je unaweza kukubali malipo kwa awamu yaani unabaki na kadi/pikipiki mpaka malipo yakamilike within time bei ya mwisho sh. ngapi 0718151415
Mwana Ilala JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 1,287 Reaction score 486 Dec 18, 2016 #3 Haujue imenunuliwa mwezi wa tisa. Bei 1.8M njoo inbox
Abramovic JF-Expert Member Joined Sep 6, 2013 Posts 324 Reaction score 605 Dec 18, 2016 #4 Mkuu hiyo mi nainunua nakuhakikishia, kadi ina jina lako? Inadaiwa kiasi gani TRA? Kuhusu namba ntabadilisha mwenyewe. Pia imetembea km ngapi?
Mkuu hiyo mi nainunua nakuhakikishia, kadi ina jina lako? Inadaiwa kiasi gani TRA? Kuhusu namba ntabadilisha mwenyewe. Pia imetembea km ngapi?