Picha: Chadema Digital kafika Kahama, Shinyanga

CDM nimewakubali, hii style ya kimbiza mwizi kimya kimya imenivutia sana sana. Mungu wa mbinguni awabariki sana, awatie nguvu kwa yote mnayoyapitia ninyi wanachama pamoja na viongozi wenu.
 
MUNGU yupi wa kubariki chadema unayemsema!!! MUNGI huyu huyu anaye abudiwa na wanadamu au? MUNGU hawezi kusikiliza kikundi cha wahuni
Wahuni ni nyinyi wana uvccm na walezi wa kina Hamza gaidi
 
Pasipo kulazimishana kwa virungu na sheria za kazi wanao ipenda cdm ni zaidi ya 70% ya watanzania
Utafiti mpya unaofanyika kwenye Chadema Digital unaonyesha kwamba 87.6% ya Watanzania ni wanachadema
 
Wamechanganyikiwa hawajui washambulie nani , waendelee na Mbowe au wazuie Chadema Digital ?
Kwa sasa hawana la kufanya zaidi ya haya wanayo yatekeleza na kuwaumbua .

Kama yanayo endelea kwenye kesi ya mh Mbowe ni maajabu ya karne.
 
Hio digital watapiga kampeni kwa computer? 😀
Digital inasaidia kwenye big data analytics kupitia uaandaji sera au bajeti kulingana na pattern za wanachama, demography, na projections kadhaa za kitakwimu zinazoweza fanyika kama taarifa zipo kidijitali.

Kingine mmezuia siasa za majukwaani so kma chama lazma kije na digital strategy ili iweze kuwafikia wananchi hata wakiwa vitandani kwao.

So ni suala jema kwa kila mpenda maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…