Picha: Chadema Digital kafika Kahama, Shinyanga

Nimeona USHETU mambo ni moto...
Nimekutana na gari nyingine ya makamanda maeneo ya Shinyanga, inachanja mbuga, sijui inaelekea wapi!

Mungu awabariki. Shetani unatakiwa kupambana naye, siyo kumwabudu, hata kama unapatwa na magumu ya namna gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…