Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Nov 26, 2021 #1 Pamoja na kwamba huu ni msimu wa kilimo lakini Wananchi waliamua kusitisha kulima kwa muda kwa ajili ya Uhai wao, ikumbukwe kwamba siasa ni Uhai.
Pamoja na kwamba huu ni msimu wa kilimo lakini Wananchi waliamua kusitisha kulima kwa muda kwa ajili ya Uhai wao, ikumbukwe kwamba siasa ni Uhai.
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,273 Reaction score 13,567 Nov 26, 2021 #2 Nawapongeza sana wandamba, wapogoro, wambunga na wengineo waliochukua hatua kwa ajili ya future yao.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Nov 26, 2021 Thread starter #4 Ulongupanjala said: Nawapongeza sana wandamba, wapogoro, wambunga na wengineo waliochukua hatua kwa ajili ya future yao. Click to expand... Kwa niaba yao nasema asante
Ulongupanjala said: Nawapongeza sana wandamba, wapogoro, wambunga na wengineo waliochukua hatua kwa ajili ya future yao. Click to expand... Kwa niaba yao nasema asante
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Nov 26, 2021 Thread starter #5 Ngongo said: [emoji106] Click to expand... Hakuna kijiji kitaachwa