Picha chafu lizimfanya Rihanna kuwa hatiani kufungiwa Account na kushitakiwa

Picha chafu lizimfanya Rihanna kuwa hatiani kufungiwa Account na kushitakiwa

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
image419-700x336.jpg


Kwa Rihanna hua sio ‘big deal' kupost picha za utupu katika mitandao ya kijamii, inavyoonekana ni moja ya starehe zake ambazo zimeonekana kuvuka mipaka iliyowekwa na wamiliki wa mtandao wa kushare picha wa Instagram.


Mwimbaji huyo wa Barbados, jana aliweka picha za utupu katika mtandao wa Instagram, lakini wamiliki wa mtandao huo waliziondoa picha hizo kwasababu zilikiuka masharti yanayozuia watumiaji kutoweka picha za aina hiyo katika mtandao huo.

Chanzo kiliuambia mtandao wa TMZ kuwa Instagram licha ya kuziondoa picha hizo pia walimtumia barua pepe ya kumuonya vinginevyo watamfungia kutoutumia mtandao huo.

Hata hivyo Riri bado aliendelea kupost picha hizo katika mtandao wa Twitter.
 
hata akikaa uchi havutii na tuma nyonyo tu dogo atachanyikiwa huyu
 
huyu si alimuambukiza gono Criss Brown huyu bado hajapona tu..
 
Kibuti haijalishi ww ni maarufu na una jeuri ya fedha,huyo bi dada ana stress za kupigwa kibuti na ampendae kuliko men wote mtukutu Chris Brown.
 
Back
Top Bottom