FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Ninalenga kuonyesha kuwa kutoka ghorofa moja mpaka jingine kunakuwa na kakibaraza karefu kidogo ili MTU anapoanguka asiende chini moja kwa moja aweze kukwama japo naweza kuwa nimevichora virefu sana.
Mfano maghorofa huwa na vibaraza sasa kibaraza cha ghorofa inayofuata chini kiwe kirefu kuliko cha juu yake japo hapa huwa bati maalumu au pembe NNE ya nyavunyavu kama chekecheo LA mahindi au unga.