FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Hii in nzuri kama kutazuka moto,MTU atajitupa kutoka flow moja moja mpaka chiniNimekukubali kamanda ila kifo cha kujitakia hakijawahi kuzuiwa hata siku moja. MTU akiamua kufa atakufa tu hakuna namna. Utamzuia hapo atajinyonga ama atakunywa sumu
Hakuna kitu kinachoitwa Flow kwenye jengo ...ukishindwa kuita floor ita tu sakafu haitabadili 'usomi' wakoHii in nzuri kama kutazuka moto,MTU atajitupa kutoka flow moja moja mpaka chini
Hapa nimelenga pia ajali za moto ikiwa utazuka katikati ya ghorofa itamwezesha MTU kujitupa had I ghorofa ambayo haina moto kumbuka nyavunyavu hizi zenye umbo LA chekecheo haziumiza.Unahisi ni nani anataka kujirusha ghorofani humu? Na kwanini unadhani ghorofa lako ndilo mhusika amelenga kujirusha?
Sijaelewa lengo la uzi wako ni kulalamika ama kufokea watu unaohisi watajitupa kwenye jengo lako!Hapa nimelenga pia ajali za moto ikiwa utazuka katikati ya ghorofa itamwezesha MTU kujitupa had I ghorofa ambayo haina moto kumbuka nyavunyavu hizi zenye umbo LA chekecheo haziumizi
Hii ni nzuri bob kuna clip nliiona wiki ilopita mama alimuokoa mwanae kwa kumrusha kupitia dirishani na yeye kushindwa kujiokoa kwa sababu ya umbali na kuzidiwa na moto so kama hilo jengo lingekuwa lipo kama wazo lako hili nadhani asingeshindwa kujiokoaHapa nimelenga pia ajali za moto ikiwa utazuka katikati ya ghorofa itamwezesha MTU kujitupa had I ghorofa ambayo haina moto kumbuka nyavunyavu hizi zenye umbo LA chekecheo haziumizi
π π π πSijaelewa lengo la uzi wako ni kulalamika ama kufokea watu unaohisi watajitupa kwenye jengo lako!
Kwani mood bei gani mkuu...natamani kujaribu vitu vingi ambavyo sijavi experience maishani!π π π π
Hivii ni Mimi nina mood poa ama ni wewe una vituko, haiwezekani thread ya pili hii nakutana tu na vituko vyako.!
Eti 'unatufokea'..!
ππππ Yani weweSijaelewa lengo la uzi wako ni kulalamika ama kufokea watu unaohisi watajitupa kwenye jengo lako!