Picha-diamond akifanya maonezi na kula chakula cha pamoja na mh,membe

Picha-diamond akifanya maonezi na kula chakula cha pamoja na mh,membe

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
4X7A8857.JPG
Walizungumzia jinisi ya kukuza mziki wa Tanzania na zaidi
Mh Membe alimpongeza Diamond kwa kuitangaza Tz kimataifa
na kuahid kumpa sapoti

WCB WASAFI DAIMA
 
Shame ningekua rais au kiongozi yoyote mkubwa ningekua mtu wa standards na ninaye preserve cultures mwanaume uje kwangu umevaa hereni na kuweka weka nywele dawa na kujipodoa juu nakwambia ishia huko huko kajifunze manners na cultures za kiafrica.....
Ndo maana creative generation from churchhill show wanakwambia ebaba unijaze roho niweze kumshinda shetani wanaume wakipaka foundation nyumba zitajengewa nini....
 
Wanafanana akili na Membe wote wasanii wanapanga kumpa agombee ubungee labda

Umesema la maana, ndio maana hata Mkwele anamtumia huyuhuyu kwenye mikutano badala ya wale wanamashairi kama kina mzee Jongo na Tambalizeni R.I.P
 
big up almasi. wanakuchukia ila wanakukubali!
 
Nani anabisha kuwa diamond ndo msaani bora zaid east africa kwa mwaka 2013= HAKUNA!!

Nani anabisha kuwa Heaven on desert sijui ndo mwana Jf mburula na aliembwera kuliko wote mwaka 2013 =HAKUNA.

Nani nabisha kuwa Heaven on desert ndo PR mburula ,na asiekubali kujiongeza ,kushauriwa ,na hata kujiboresha kwa lolote japo product anayoinad ni nzur sana =HAKUNA.

Samahan kwa mwandiko mbaya!!. Am jst tryin kuwa mropofu.
 
Nani anabisha kuwa Heaven on desert sijui ndo mwana Jf mburula na aliembwera kuliko wote mwaka 2013 =HAKUNA.

Nani nabisha kuwa Heaven on desert ndo PR mburula ,na asiekubali kujiongeza ,kushauriwa ,na hata kujiboresha kwa lolote japo product anayoinad ni nzur sana =HAKUNA.

Bwahahaaa haaaa haaa
 
membe anaangalia sana hereni ya Dayamond ana shida gani nayo?
 
Diamond na Kapteni Komba watatawala anga za miziki ya kampeni 2015. "My number one" itatia fora katika kuhamasisha chaguo sahihi la wapiga kura.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom