Picha:diamond akifanyiwa mahojiano na vituo mbali mbali vya tv Nigeria

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
byheaven.jpg
by heaven1.jpg
byheaven.jpg
Pamoja na mengine,swali kubwa aliloulizwa boss/WCB president..NI
NI KWA NINI NI MWANAMZIKI ANAYEONGOZA KWA KUUZA CALLER TONES IN EAST AFRICA??hatukujua walifaham vip hizo data but jibu pekee alilojibu diamond ni
"I just dont know only God knows the Secret Behind..."
more apdates to come......kuna mambo makubwa sana yanatalajiwa kufanywa na Diamond
WCB FOR LIFE HUNNY
 
kazi unayo ndugu,hivi unalipwa kwa hii kazi au ni mapenzi tu kwa domo?
 
Ukiwa star kama diamond raha sana hadi watu wengine wanakutengenezea blogu hata huwajaambia wanakupostia mambo hadi raha ili mradi tu tujue ana kaji uhusiano flani na star wakijisifia wanapata maslahi kumbe kwa post hawapewi hata andazi ha hah ah haaaaaaa mbaya zaidi ngeli yenyewe wanaunga unga
 
View attachment 121365
View attachment 121366
View attachment 121365
Pamoja na mengine,swali kubwa aliloulizwa boss/WCB president..NI
NI KWA NINI NI MWANAMZIKI ANAYEONGOZA KWA KUUZA CALLER TONES IN EAST AFRICA??hatukujua walifaham vip hizo data but jibu pekee alilojibu diamond ni
"I just dont know only God knows the Secret Behind..."
more apdates to come......kuna mambo makubwa sana yanatalajiwa kufanywa na Diamond
WCB FOR LIFE HUNNY
mhuuu!!! usikute ni kajistesheni tu kauchochoroni au wamejirekodi baas
 
Ukiwa star kama diamond raha sana hadi watu wengine wanakutengenezea blogu hata huwajaambia wanakupostia mambo hadi raha ili mradi tu tujue ana kaji uhusiano flani na star wakijisifia wanapata maslahi kumbe kwa post hawapewi hata andazi ha hah ah haaaaaaa mbaya zaidi ngeli yenyewe wanaunga unga

acha kuponda wewe! Mshkaji kweli anafanya kwa Diamond kama blogger na photographer
 
hongera zake, ila i can't imagine hali ilivyokuwa kama lugha iliyotumika ilikuwa kiinglish.

Hakuna hata cha maana alichoongea zaidi ya dagaa wa Kigoma na mawese pamoja na mademu wa kinigeria.
 
kwi kwi kwi kwi kwi kwi cha maana atakitoa wapi? hawa jamaa wako shallow sana upstairs
 
mie nasikia kimombochampa tabu hata twit nyingine huwa anaandikiwa na penseli

ngoja hiyo tuje tuone
usiseme unasikia kama kuuma yai ni tatizo wala sishangai sio lugha mama kwake. lakini ingekuwa kiswahili cha sumbua mie ningesema anamatatizo. jamani hata mbuyu unaanza kama mchicha na kuuma yai sana sio ujanja, ujanja ni kumake more money.
 
Back
Top Bottom