heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
sio yanatalajiwa ni yanatarajiwa.............
hongera zake, ila i can't imagine hali ilivyokuwa kama lugha iliyotumika ilikuwa kiinglish.
hongera zake, ila i can't imagine hali ilivyokuwa kama lugha iliyotumika ilikuwa kiinglish.
Haya mwalimu
So what....???
mhuuu!!! usikute ni kajistesheni tu kauchochoroni au wamejirekodi baasView attachment 121365
View attachment 121366
View attachment 121365
Pamoja na mengine,swali kubwa aliloulizwa boss/WCB president..NI
NI KWA NINI NI MWANAMZIKI ANAYEONGOZA KWA KUUZA CALLER TONES IN EAST AFRICA??hatukujua walifaham vip hizo data but jibu pekee alilojibu diamond ni
"I just dont know only God knows the Secret Behind..."
more apdates to come......kuna mambo makubwa sana yanatalajiwa kufanywa na Diamond
WCB FOR LIFE HUNNY
Ukiwa star kama diamond raha sana hadi watu wengine wanakutengenezea blogu hata huwajaambia wanakupostia mambo hadi raha ili mradi tu tujue ana kaji uhusiano flani na star wakijisifia wanapata maslahi kumbe kwa post hawapewi hata andazi ha hah ah haaaaaaa mbaya zaidi ngeli yenyewe wanaunga unga
sawa msemaji wa diamond JF
hongera zake, ila i can't imagine hali ilivyokuwa kama lugha iliyotumika ilikuwa kiinglish.
Hakuna hata cha maana alichoongea zaidi ya dagaa wa Kigoma na mawese pamoja na mademu wa kinigeria.
usiseme unasikia kama kuuma yai ni tatizo wala sishangai sio lugha mama kwake. lakini ingekuwa kiswahili cha sumbua mie ningesema anamatatizo. jamani hata mbuyu unaanza kama mchicha na kuuma yai sana sio ujanja, ujanja ni kumake more money.mie nasikia kimombochampa tabu hata twit nyingine huwa anaandikiwa na penseli
ngoja hiyo tuje tuone
kwi kwi kwi kwi kwi kwi cha maana atakitoa wapi? hawa jamaa wako shallow sana upstairs
hongera zake, ila i can't imagine hali ilivyokuwa kama lugha iliyotumika ilikuwa kiinglish.
That's why me love zis geli. Inanifurahisha sana hii mwanamke.
about what...................????