Picha: Diamond akiwa studio na D'banj nchini South Africa

Picha: Diamond akiwa studio na D'banj nchini South Africa

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
diamond na dbanji-studio-SA.jpg
Ameenda leo alfajiri tegemea mambo mazuri zaidi toka kwa Bongo fleva prince anaewakilisha vyema nchi yetu.
Nikukumbushe tu kuna project na Iyannya itakayotoka mapema march kaa karibu na mm kwa updates zaidi

attachment.php
 

Attachments

  • KWENYE NDEGE AKIWA NA AY.jpg
    KWENYE NDEGE AKIWA NA AY.jpg
    36.6 KB · Views: 1,799
Mwambie tunasubiri afanye kolabo na wasanii wa nje ya Afrika now!
 
View attachment 139887
Ameenda leo alfajiri tegemea mambo mazuri zaidi toka kwa Bongo fleva prince
anaewakilisha vyema nchi yetu..
nikukumbushe tu kuna project na Iyannya itakayotoka mapema march
..kaa karibu na mm kwa updates zaidi


Hivi huwa unaelewa unachoandika?

prince wa bongo flavour au ulitaka kumaanusha nini?

kama mnajitapa kuwa hana mpinzani Leo unaposema ye prince king ni nani?

silly.
 
Hivi huwa unaelewa unachoandika?

prince wa bongo flavour au ulitaka kumaanusha nini?

kama mnajitapa kuwa hana mpinzani Leo unaposema ye prince king ni nani?

silly.

king si mzee ngurumo..
 
Hapa ndipo ninapompendea huyu dogo..Tukubali tu Diamond anafanya vizuri.
Safi kijana.
 
huyu kijana anafanya kazi nzuri na anajitahidi. Diamond ame invest sana sishangai kuona kawapiga gape wasanii wenzake. Safi sana
 
Hapa ndipo ninapompendea huyu dogo..Tukubali tu Diamond anafanya vizuri.
Safi kijana.
Anajituma, much respect to the kid. Anachofanya Platinum kina impact kubwa sana, tena sana kwenye safari yake ya muziki! Lazima niwe mkweli, kabla Goldie Harvey hajafanya kolabo na AY, nilikuwa simfahamu lakini baada ya kolabo tu, nikawa namfahamu na nikawa namfuatilia vilevile...inawezekana bfore that, hata kama niliwahi kumuona kwenye TV kuna uwezekano sikupata ku-concentrate kumfuatilia! The same kwa Davido...huyu ingawaje nilikuwa namfahamu, nilikuwa sijahi kumsikiliza nyimbo yake mpaka mwisho hadi alipofanya kolabo na Diamond...nina uhakika nyimbo yake inayooneshwa sasa ikiwa ame-shoot kwenye shamba la mihogo ingekuwa ndio enzi hizo; ile kuona mihogo tu ningebadili chaneli...but now, every time , hata hii ya mihogoni naifuatilia hadi mwisho! Kama ni uboya, basi uboya kama huo inawezekana tupo wengi; so Diamond hii kwake ni strategy mzuri ku-attract international attention akianzia huko huko Nigeria...Nigeria ndio largest market in Africa.
 
Back
Top Bottom