heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
View attachment 139887
Ameenda leo alfajiri tegemea mambo mazuri zaidi toka kwa Bongo fleva prince
anaewakilisha vyema nchi yetu..
nikukumbushe tu kuna project na Iyannya itakayotoka mapema march
..kaa karibu na mm kwa updates zaidi
Dear mbn hivyo jmn?
'nikae karibu na wewe kwa update zaidi?'.........teh teh teh!
Hivi huwa unaelewa unachoandika?
prince wa bongo flavour au ulitaka kumaanusha nini?
kama mnajitapa kuwa hana mpinzani Leo unaposema ye prince king ni nani?
silly.
Nna kikohozi....
mnh! kikohozi na kuhagi wapi na wapi; si mwanzo wa kuleteana kichomi huko!ooh njioo nikuhag jmn
Anajituma, much respect to the kid. Anachofanya Platinum kina impact kubwa sana, tena sana kwenye safari yake ya muziki! Lazima niwe mkweli, kabla Goldie Harvey hajafanya kolabo na AY, nilikuwa simfahamu lakini baada ya kolabo tu, nikawa namfahamu na nikawa namfuatilia vilevile...inawezekana bfore that, hata kama niliwahi kumuona kwenye TV kuna uwezekano sikupata ku-concentrate kumfuatilia! The same kwa Davido...huyu ingawaje nilikuwa namfahamu, nilikuwa sijahi kumsikiliza nyimbo yake mpaka mwisho hadi alipofanya kolabo na Diamond...nina uhakika nyimbo yake inayooneshwa sasa ikiwa ame-shoot kwenye shamba la mihogo ingekuwa ndio enzi hizo; ile kuona mihogo tu ningebadili chaneli...but now, every time , hata hii ya mihogoni naifuatilia hadi mwisho! Kama ni uboya, basi uboya kama huo inawezekana tupo wengi; so Diamond hii kwake ni strategy mzuri ku-attract international attention akianzia huko huko Nigeria...Nigeria ndio largest market in Africa.Hapa ndipo ninapompendea huyu dogo..Tukubali tu Diamond anafanya vizuri.
Safi kijana.