Mmh! kama kiota cha ndege sholwe!!!
Alitakiwa ajenge ziiiinga la kasri!!kama taj mahal vile!!lol!
Nyumba ndogo sana kwa kipato chake.....lol another hater. Mungu azidi kubariki
Kuna midude itaponda wakati hiyo hiyo bado inaishi kwa wazazi wao ambao bado wamepanga hapa mjini
go diamond,go,mimi na fans wako tunakuombea mafanikio zaidi kimziki na kimaisha
gud b wc hm
Unapouliza swali na wewe weka picha ya mjengo wako kwanza
sio kosa lake anafuata maelekezo kutoka kwa bosi wake njaa mbaya sana.Kwa nini unaanza na negative feelings kuwa watu wataponda juu ya msanii huyu?
Kila siku nakuambia kuwa sioni sababu ya wewe kumpambanisha msanii huyu na hao unaowaita haters wake.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Tuondolee mambo ya FB andika ueleweke
Kuna midude itaponda wakati hiyo hiyo bado inaishi kwa wazazi wao ambao bado wamepanga hapa mjini
go diamond,go,mimi na fans wako tunakuombea mafanikio zaidi kimziki na kimaisha
Tuondolee mambo ya FB andika ueleweke
kwanza kama ni milioni 260 hapo kala changa la macho.......hiyo hela inajenga hekalu la maana syo nyumba kama hii.....
halafu watu wengine bwana mbwembwe nyingi mno,,,,,kuita nyumba kama hii kiota cha ndege ni ulimbukeni na misifa isiyo na mpango..... Wanaishi binadamu wenziyo..