Picha: Diamond atembelea moja ya nyumba anazojenga

Kuna midude itaponda wakati hiyo hiyo bado inaishi kwa wazazi wao ambao bado wamepanga hapa mjinigo diamond,go,mimi na fans wako tunakuombea mafanikio zaidi kimziki na kimaisha
hongera msanii...ila mwandishi wa post hii una matatizo...naona utakuwa na stress za maisha...attitudes!au ndio unatafta umaarufu humu Jf?
 
Kajitahid Sana Dogo kutokana na Umri wake,Elimu yAKe na Historia ya alipotoka.Congs
 
Diamond hana tatizo, tatizo analo huyu vuvuzela anayemtafutia Diamond watu humu wamchukie. Lakini umri wa mleta mada ndio unamsumbuwa, akikuwa ataacha na ataanza kutafuta vyake, watu wa namna hii wapo wengi hapa nchini kwetu kuna wengine utakuta wanashindana mpaka povu linawatoka kwamba kati ya Shabiby na Abood nani mwenye mabasi mengi!!
 
..Akumbuke na kina dada anaohadaa..sio kupita tu na kuwaachia vumbi..sasa sijui kama kina Wema, Jokate, wolper nao wamejenga walau ya chumba kimoja ?
 
Hongera, hufanani na wanaokaa kwa wazazi mpaka leo. Ila usivimbe kichwa, unatakiwa uwe na kitu kinachoingiza feza nyingi. kwa hatua uliyofikia unahitaji uwe na kampuni yenye muelekeo wa kukuingizia kipato cha kudumu. Ujezi wa nyumba tena ya kuishi ni ujima, ukichukia nenda kachungulie choo
 



Na watakapozeeka na kujikuta hawana kitu basi watakuwa wachawi kamili....
 
nimewashangaa sana wabongo! yaani tuna roho mbaya, chuki , husda na wivu kupitiliza! ndo maana wachawi ni wengi sana na hatuendelei!
badala ya kupongezana kwa hatua mbali mbali za maendeleo tunatukanana na maneno mabaya yenye sumu kuliko ya cobra.
na wote walio comment negative ni maskini wa kutupwa hata vyoo vya shimo vya kwao wenyewe hawana.
comments zenu zimejaa uchungu wa kupigwa na maisha. poleni manake kusema nyumba hiyo tunafugia kuku kwetu, Hata baresa haezi sema ivyo! poleni na uchungu na dhiki zilizowajaa..
mmeboa sana. Khaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…