USA unaenda website ya afrimma dot com unachagua nominees unaanza kupiga kura, hapo yupo kwenye vipengele saba.
ukipiga kura ya kipengele basi bonyeza return to poll kuendelea kupigia kura kipengele hicho, ukimaliza unaenda kwenye kingine.
Ya Uganda wameweka kwenye page yao ya Instagram ukikuta picha ya Diamond kuna mselezo una komenti kwa kuandika hivi #ueadiamond
Nigeria unaenda
neaawards dot com
utaona ya kwanza
[h=3]African Artist of the Year (Non Nigerian)[/h] bonyeza kwa Diamond, kitiki cha kijani kikitokea basi umeshapiga kura, wameandika inaruhusiwa mara moja kwa masaaa 24 kila kura kwenye kipengele.