KAMPUNI YA BI SALMA INATAKA UBUNGE NZEGA
NANI ANAROPOKA?
A. HOSPITAL ZISIZO NA DAWA WALA WATALAAMU ZITAKUWA ZA RUFAA
B. KILA PENYE ZIWA NITALETA MERIKEBU
C. SIHITAJI KUWA ZA WAFANYAKAZI
D. VIWANJA VYA NDEGE VITAJENGWA KWA WINGI
E. KUAMBUKIZWA UKIMWI NI KIHEREHERE
F. BAJAJI ZITABEBA WAJAWAZITO
G. MRAMBA NA LOWASSA NI WATU SAFI NA WACHAPAKAZI
BY J.K
Kweli wananchi wameamka, kwahiyo wanaona Rais wao anatania kwamba ahadi zake hazitekeleziki? Labda abadilishe strategy kwa muda uliobaki otherwise imekula kwake.
Jk asipokuwa mwangalifu ICC itamweka mkononi kabla ya Desemba mwakani kwa kuuvuruga chaguzi hii......................
Mkuu, usisahau ameahidi hospitali kubwa kwa kila Jimbo ifikapo 2015.Mkuu Dr. alisema hivi "....hizi ahadi anazotoa JK, inawezekana ni tatizo la elimu aliyonayo au.......?"
Pia kuna Bango moja liliandika ....."hizo bajaji 400 za JK kama anaona zitasaidia basi aanze kupanda Salma!......"
hahahhaaaaaa! hapa umeua.Hapo penye Red Mkuu,
Na kwavile yeye anapenda kuzurula ovyo ovyo kumkamata itakuwa ni rahisi zaidi tofauti na Hussein Al Bashir wa Sudan.
Mkuu, usisahau ameahidi hospitali kubwa kwa kila Jimbo ifikapo 2015.
Ukipiga hesabu ya ahadi za JK, zinafika 76 kwa sasa, ifikapo mwisho wa kampeni zitakuwa labda 100.
There fore: 1 year = 365 days
5 years = 1,825
If number of promises = 100;
Implementation time = 1,825 days
This means, 1,825/100 = 18 days.
kwa hiyo, KJ atatakiwa kutimiza ahadi moja kwa siku 18 tu.
HUU SI UTANI?