Augustine Moshi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2006
- 2,556
- 1,385
hakuna nguo za chama wala nini. jana nilikuwa napitia famialia yangu na ndugu zangu kuwakumbusha kumpigia slaa na nimeahidi kutotoa msaada kwa yule atakaekwenda kinyume. Je wewe umeishafanya sehemu yako?
Kuna watu wanaweweseka. Hivi Timu ya familia ya JK watafanya kazi gani baada ya Sept 31? Na hizo kura za wizi zinatoka kwa mzinzi mwenzake wa SA? Hivi ni nani ataweza kumvaa balozi wa SA Dar na kumpiga maswali kuhusu huu umangi meza? Je balozi wa Tanzania aliye SA anahusika na hii scandal ya kuchapisha makaratasi ya kura?
Mlio SA hebu fuatilieni au Ka-inzi kafanye kazi yake.
hakuna nguo za chama wala nini. jana nilikuwa napitia famialia yangu na ndugu zangu kuwakumbusha kumpigia slaa na nimeahidi kutotoa msaada kwa yule atakaekwenda kinyume. Je wewe umeishafanya sehemu yako?
Hao wapo bent kinoma maana walishatanguliza chopers!Kuna watu wanaweweseka. Hivi Timu ya familia ya JK watafanya kazi gani baada ya Sept 31? Na hizo kura za wizi zinatoka kwa mzinzi mwenzake wa SA? Hivi ni nani ataweza kumvaa balozi wa SA Dar na kumpiga maswali kuhusu huu umangi meza? Je balozi wa Tanzania aliye SA anahusika na hii scandal ya kuchapisha makaratasi ya kura?
Mlio SA hebu fuatilieni au Ka-inzi kafanye kazi yake.