Hiyo ni modern house style american style sawa kabisa ila nyumba hii inafaa iwe maanndari karibu na bahari,ziwa au mito kwa us utazikuta sana maeneo ya malibu, al pato miami , michigan etc
Ni nyumba inayohitaji security system ya juu kwani asilimia kubwa ni mbao na vioo huku bongo maybe utumie cement na vioo vyenyewe sio vioo vya kununulia kariakoo
Ni nyumba ambayo inahitaji uwazi ili uone maandhari hivyo haitakiwi uiweke ukuta....
Na kwa style hiyo kibongo bongo umekwisha kwani wale wa mtaji wa masikini ni nguvu zao wenyewe kila siku watakuwa wanakuja kukutembelea....
Nikipata muda nitakumbuka website ya house designs utapata michoro mingi tu..