Hivi Kukaa kwenye swimming pool ndo kula bata siku hizi?
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzieMuuaji ni muuaji tu
Jiuzeni tu kurahisi. Mkipata magonjwa msitembeze bakuli la kuwachangia matibabu. Tumechoka.Mcheza filamu asiyechuja bongo , na mwenye mvuto wa aina yake , Elizabeth michael , ameonekana akiwa kwenye kisiwa cha Zanzibar akila bata na marafiki zake na kufurahia maisha ..
Mrembo huyo ambaye ni mchumba halali wa Majizzo, hivi karibuni baada ya kutoka jela, ameonekana akibadili mienendo ya maisha yake ikiwemo marafiki wanaomzunguka, na kurudisha heshima yake kwenye jamii.
Ila ka lulu sasa hivi kametulia hadi raha , nikikumbuka lulu wa miaka ile alikua mcharuko hatari , kila club humkosi, alikuwa anadanga hatari mastaa wote wake.
Naona jela imembadilisha sana na kumfundisha maisha , now she is a grown up lady , well mannered and matured, well done lulu, nakutakia maisha mema
View attachment 1471377
View attachment 1471378
View attachment 1471379
Lini twende oceanic tukale Bata?Hahaha
Lulu ni mfupi kuliko hao wote uliowatajaAsiwatishe .huyu demu ni mfupi ajabu
Kama alivyo salama.vanesa.mi dem akiwa mfupi sana huwa napata tabu sana kumpenda
Naweza kuosha rungu.skatai ila siwez jisifia kua nna demu
Sasa hivi kuna skendo yao ipi dear?Kila ikiibuliwa skendo kumuhusu yeye au majay inakua tiket ya lulu kula bata ili wananzengo waone mambo ni shwari kabisa
Sasa hivi kuna skendo yao ipi dear?
Hiyo 5* hotel huko zanziberi inaizidi ile Burji Al Arab ninapoendaga kupumzika kila mwisho wa mwezi?Ana enjoy life binamu , yupo hotel nyota tano , kaenda na azam marine first class , bata analila binam[emoji16]
Unawaza kama upo uchi vile!Lulu anakula hela za Kanumba alizomwibia wakati anamuua!
Alaa kumbe huyu dem ni mfupi ajabu!!! basi mm siwezi kukapenda huwa sipendagi tusungura...Asiwatishe .huyu demu ni mfupi ajabu
Kama alivyo salama.vanesa.mi dem akiwa mfupi sana huwa napata tabu sana kumpenda
Naweza kuosha rungu.skatai ila siwez jisifia kua nna demu
Ww unaenjolia wp!!?Yuko vizuri, aenjoy to the fullest, maisha ndiyo haya haya.