Picha: Eng Hersi akiwa A. Kusini leo

Picha: Eng Hersi akiwa A. Kusini leo

Mnada wa Mhunze

Senior Member
Joined
Mar 1, 2023
Posts
168
Reaction score
819
Screenshot_20230619-134447.png
"....yupo hapa na walikuwa na Pitso lakini baadae kuna mkataba ataenda kujaza wa kumnunua mchezaji hatari!"

Duru.
 
Yaani wameshindwa kulipa faini ya $66000 ndio mnawaza kumsajili Pitso
Ajashindwa bali ni kiburi tu.

Udhamini wa HAIER - Bilioni 2 Tsh
CAF CONF CUP - Bilion 2 Tsh (runner up)

Jumla BILIONI 4. Kumbuka $66,000 ni sawa na Milioni 130 Tsh.

[emoji23]
 
Huyu msomali anawapatia kweli gongowazi
Yaani we acha tu! Anatupatia vilivyo.

Hatukuwahi kubeba treble back 2 back, jamaa kafanikisha.

Hakukuwahi kuwapo naa club East Afrika kushiriki CAFCC finals - jamaa kawezesha jambo.
 
Back
Top Bottom