Kibonde ni wa kufungwa,kuendesha gari akiwa tingasi,alitaka kusababisha kifo cha askari wa barabarani,tatu kusababisha uharibifu wa mali.
Kwa picha hiyo Cloud TV hawakawii kusema walikuwa wanatengeneza tangazo la "utii wa sheria bila shuruti"
Wakuu mpaka sasa clouds bado hamja waelewa.Msiamini lolote kutoka kwao,hilo ni tangazo tu kama ilivyokuwa ile ya watangazaji kupigana studio. Kibonde hapo yupo kazini hakuna ukweli wowote ni maigizo tu
Kweli yupo kazini kwake kituo cha polisi.
Kibondee mzee wa bia za mtelemko ndio zimemponza
Kweli yupo kazini kwake kituo cha polisi.
Jaama namsubiri atakapofika kwenye studio atakavyotoa povu mithili y mmasai aliepandisha mori. Huyo traffic CCP MOSHI anaitendea haki
Kie kie kie kie, anamwambia jamaa "nikitoka utaipata"
Huyu hapa anachimba biti kama kawa.
tena mbatata...