Kesho akipanda mahakamani Ndio mtaamini kuwa haikuwa tangazo
Kwi kwi kwi ni yule jamaa yangu wa Jahazi na asaalam aleikum zake wamemkwida!Shame on u Kibonde sikutegemea unaweza kufanya vitu kama ulivyofanya leo pale ubungo asbh uuuuh ivi nn maana ya public figure ya Tz hii mnatuonyesha nn duh Polen clouds maana jamaa kachemsha.
UPDATES:
in
Shame on u Kibonde sikutegemea unaweza kufanya vitu kama ulivyofanya leo pale ubungo asbh uuuuh ivi nn maana ya public figure ya Tz hii mnatuonyesha nn duh Polen clouds maana jamaa kachemsha.
UPDATES:
Salamaleko afande teh teh teh ujanja wote mfukoni!!!
...athari za zile dawa zinaanza kuonekana...mara nyingi ntumiaji huwa aggressive hasa mwishoni
Tume waangalifu kwenye majina na koo zetu, Kibonde? Duu namfananisha na faiza fox, tabia zao ni za kifoxfox Tu!Umejifunza nini na unatoa ushauri gani kwake kwa tukio la kufanya ajali na kukaidi amri ya polisi? Na Kibonde huyu ndiye yupo mstari wa mbele kwenye matangazo ya utii wa sheria bila shurti katika usalama barabarani!
...athari za zile dawa zinaanza kuonekana...mara nyingi ntumiaji huwa aggressive hasa mwishoni
Alikuwa location wakuu! Subirini kile kipindi cha Usalama barabarani mtamuona,Umejifunza nini na unatoa ushauri gani kwake kwa tukio la kufanya ajali na kukaidi amri ya polisi? Na Kibonde huyu ndiye yupo mstari wa mbele kwenye matangazo ya utii wa sheria bila shurti katika usalama barabarani!