Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Hebu fikiria hili lingemtokea mbunge wa Chadema nini angesema Kibonde?
 
Safi sana, hili tukio limetokea maeneo gani ili nikampe zawadi huyu askari?

limetokea ubungo binafsi nimefurah inabd tuungane tukampe zawad huyu afande japo alitakiwa amtie mitama kidogo huyo falaa
 
Alafu Kibonde hanaga aibu kabisa, yaani anafanya fujo mbele ya babaake mdogo. Huyo mwenye kofia kwenye picha si Mzee Kibonde mdogo wa Mpitimbi. Kijana pombe zinampeleka pabaya sasa.
 
Kibonde wa Clouds anadaiwa kusababisha ajali asubuhi hii eneo la Makumbusho, amemgonga dereva mwingine kwa nyuma. Trafiki walipofika kupima ajali, Kibonde karudi nyuma kaendesha gari lake kasepa! Trafiki katumia gari lililogongwa kumfukuzia. Walifanikiwa kumkamata eneo la Mwenge. Trafiki aliingia ktk gari lake na kumwomba arudi eneo la ajali ili wakapime na kuchora mchoro wa ajali. Kibonde kagoma na kumtaka trafiki ashuke ktk gari lake, trafiki naye kagoma kushuka. Mchezo ulioendelea Kibonde aliondoa gari na kuanza kupiga misele, akizunguka mitaa akiwa na trafiki huyo! Trafiki aliwasiliana na wenzake ambao walianza kuifuatilia gari hiyo ya Kibonde kila kiunga cha jiji hususani eneo la Mwenge na Ubungo. Hayawi, hayawi yakawa, Kibonde akatokea maeneo ya mataa ya Ubungo, hapo nikashuhudia senema ya Kibonde na trafiki! Trafiki wa kike aliyekua eneo hilo akaipiga mkono gari ya Kibonde iliyokuwa kasi, gari hiyo haikuonesha dalili za kupunguza mwendo. Trafiki alikomaa kusimama mkono wake ukiwa juu kuashiria kumtaka Kibonde asimame huku akipaza sauti ktk radio call akisema ananigonga, afande, ananigonga! Akiwa ktk hali hiyo, kuna gari ilikotokea sikujua ikakatisha kati ya trafiki na gari ya Kibonde ndiyo ikawa kigingi cha gari ya Kibonde na kutiwa mbaroni! Aligoma kuendesha gari ikabidi livutwe hadi polisi Urafiki ambapo kwa sasa amepelekwa Oystabay! Kwa utafiti wangu kidogo nilioufanya nikifukuzana na muda kuwahi kanisani, ni kwamba Kibonde na watu wengine aliokuwanao ndani ya gari lake walikuwa 'TINGASI'!
 
Kibonde wa Clouds anadaiwakusababisha ajali asubuhi hii
eneo la Makumbusho, amemgonga dereva mwingine kwa nyuma. Trafiki walipofika kupima ajali, Kibonde karudi
nyuma kaendesha gari lake kasepa! Trafiki katumia gari lililogongwa kumfukuzia. Walifanikiwa kumkamata eneo la Mwenge. Trafiki aliingia ktk gari
lake nakumwomba arudi eneo la ajali ili wakapime na kuchora mchoro wa ajali. Kibonde kagoma na kumtaka trafiki ashuke ktk gari lake, trafiki naye
kagoma kushuka. Mchezo ulioendelea Kibonde aliondoa gari na kuanza kupiga misele, akizunguka mitaa akiwa na trafiki huyo! Trafiki aliwasiliana na wenzake ambao walianza kuifuatilia gari hiyo ya Kibonde kila kiunga cha jiji hususani eneo la Mwenge na Ubungo.
Hayawi, hayawi yakawa, Kibonde akatokea maeneo ya mataa ya Ubungo, hapo nikashuhudia senema ya Kibonde na trafiki!

Trafiki wa kike aliyekua eneo hilo akaipiga mkono gari ya Kibonde iliyokuwa kasi, gari hiyo haikuonesha dalili za kupunguza mwendo. Trafiki
alikomaa kusimama mkono wake ukiwa juu kuashiria kumtaka Kibonde asimame huku akipaza sauti ktk radio call akisema ananigonga, afande,
ananigonga! Akiwa ktk hali hiyo,
l kuna gari ilikotokea sikujua ikakatisha kati ya trafiki na gari ya Kibonde ndiyo ikawa kigingi cha gari ya Kibonde na kutiwa mbaroni! Aligoma kuendesha gari ikabidi livutwe hadi polisi Urafiki ambapo kwa sasa amepelekwa Oystabay! Kwa utafiti wangu kidogo nilioufanya nikifukuzana na muda kuwahi kanisani, ni kwamba Kibonde na
watu wengine aliokuwanao ndani ya gari lake walikuwa 'TINGASI'!
 
Moderator kwanini mmekimbilia kuweka comment ya bato pale juu? Hii habari bado zinaingia taarifa tofauti acheni zimiminike then tutapata habari za uhakika zaidi na si kujaribu kuwa katikati wakati huyu bwana ni moja wa watu wanaoponda mtandao huu hadharani .......
 
Last edited by a moderator:
Acheni kutoka povu subirini Kibonde aje ku prove kamani yeye kwenye hiyo picha.
 
huyu traffic anajitafutia matatizo anamkwida mc wa birthday za Kikwete?
 

Yani huyu kibwengo nisivyompenda nafikiria kwenda hapo Oysterbay polisi nikamuongezee kesi kwamba aligonga mtu akakimbi na mgonjwa yuko Moi muhimbili, kwa msumali huu hawampi dhamana hata kwa dawa.
 
Last edited by a moderator:
Kulindana mpaka jf!
 
Daaah kusoma umeshindwa bac hata picha huoni....


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…