Picha: Fabrice Ngoma Simba Sc akikaba kikundi

Una bahati Mayele kaondoka vinginevyo tutaufufua uzi
 
View attachment 2701682View attachment 2701683View attachment 2701684View attachment 2701685

Taarifa za huyu mtu huko Uturuki zinadhihirisha Yanga walikuwa sahihi kulia kuibiwa mchezaji.
Nimebaini mambo 3 muhimu kwenye hii picha.

1.Fabrice Ngoma ni mtu na nusu, yaani amemkaba hadi Xavi (Xeyal 10)?

2.Uzi wa Simba ni mkali kweli kweli tofauti na maneno ya 'wanaa' kutoka Matopeni FC. Haumkatai mchezaji au shabiki.

3.Timu nyingi za Waarabu (Vilabu na Taifa) huwa zinavaa jezi nyekundu. Ni chache zinavaa mlenda kama wa Uto (kijani na njano). Bila shaka walishabaini rangi nyekundu ni rangi ya mafanikio.
 
Jezi za Brazil ni rangi gani?
 
Mkuu kuhusu jezi acha kusimuliwa. Uzi upo vizuri. Mimi nilienda kununua moja, nilipokuta uzi mkali nikachukua tatu zote. Hata Uto huku kijijini wanaukubali uzi
 
Sasa Mayele naye ni striker wa kutisha? Hata goli 17 alishinda kufikisha, anashindana na Mpole na Saido? Tumuitaje Kagere sasa?
Huyo Kagera wako zaidi ya robo ya magoli yake ni ya penalti.
Pamoja na ubora wake lakini hana hadhi ya kumdogosha FISTON.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…