Picha: FFU Demo in Mbeya

Jamaa leo wameandamana kudai Bandari yao 😀 😀
 
Sasa huyo aliebeba mabuti na mabegi ni yanini??
 
Watoto waliotoka familia duni na maskini na kupata elimu ya Hovyo wakiwa katika sare zao,,Wakitetea maslahi Ya familia za matajiri na viongozi wa siasa,,na kuwanyanyasa maskini wenzao na familia zao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…