Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Homie Homie... Did u watch the game today??kijana kashakula sucker punch na jabs za kutosha,sasa anakula ''pension'' .......
''The Super Team''(As per Paul Pierce) was being annihilated.I couldn't take it any longer...Its just a preseason,but One guy I really felt sympathy for,was CP3.Homie Homie... Did u watch the game today??
Hivi mkuu Wahaya wanalima mazao gani? au niwafungaji wakawaidahuyu atakuwa ana asili ya kabila flan apa bongo!
Huyu jamaa sio bure ana tabia kama watu wa mkoa fulani hapa Tanzania na inawezekana asili yake ni watu wa huo mkoa.Mwafrica hata akiwa Mmarekani utamjua tu. Hela zote hizo za nini hadharani ?!
Acha uongo wewe utajiri ameupata kwenye ngumiMwenzenu amebeti kala hela hana hasara maisha yake hapo Las Vegas ni kubet amenunua machine kabisa.Huyu jomba anabahati na mikeka balaa.
Kuna uzi nimeutoa mda sio mrefu ya top 10 richest boxers ...naomba kujua
hivi huyu mayweather ni yule aliwahi kupigana na big show kipindi kile WWE.???
halafu wana masumbwi wote wana hela kama yeye au ni yeye tu??
maana jamaa ana show off duniani sijaona
Look how KD is looking at CP3... He seriously need to gang up with his brothers (Bron, Mello and Wade) if he needs a ring.. If the death lineup will remain health all season long, I don't see any team beating us..''The Super Team''(As per Paul Pierce) was being annihilated.I couldn't take it any longer...Its just a preseason,but One guy I really felt sympathy for,was CP3.
Halafu uzi bado?...
Mnyachusahuyu atakuwa ana asili ya kabila flan apa bongo!
[emoji23][emoji23]PESA ZAKE YEYE LIJITU LINASEMA ATAFILISIKA VIBAYA, KWANI WEWE NDIO ULIM KOCHI UBONDIA ...... UMEMJUA BAADA YA KUANZA NGUMI,MAISHA ALIYOISHI KABLA ULIWAHI KUMPA MSAADA...........???
Shauri yako baki hivyo hivyo mwenzako mkamaria.Hata hizo ngumi anazopigana anajibetia yeye mwenyewe jomba.Acha uongo wewe utajiri ameupata kwenye ngumi
[emoji23][emoji23] ni nyimbo gan ile ya ddc mliman park amaKubwa jinga!
Look how KD is looking at CP3... He seriously need to gang up with his brothers (Bron, Mello and Wade) if he needs a ring.. If the death lineup will remain health all season long, I don't see any team beating us..
Uzi tusubirie tu Regular ianze maana jamaa wataanza majungu teh teh..