N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Naona kageuka gumzo kwenye vyombo vya habari huko Kenya na watu maarufu kv Omondi,Jeff Koinange nk wamemtumia kama fursa, sasa huyo Githeri man msimuache fukara mpeni fursa hata ya Tv commercial adverts maana amewaburudisheni 'z....PICHA halisi ni hiyo akiwa kwenye foleni ya kupiga kura akiwa kabeba makande yake kwenye mfuko.
Huyu jamaa ametumika pia kama catalyst kwenye mvutano wa matokeo hapo who knows huenda ndo mjumbe wa amani
Aged 41
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa ametumika pia kama catalyst kwenye mvutano wa matokeo hapo who knows huenda ndo mjumbe wa amani
Aged 41
Sent using Jamii Forums mobile app