Picha!Ha ha ha,eti Diamond na Obama

Hii picha imenichekesha sana,lol hadi watu hapa hawanielewi.
 
Nani ni Mkubwa kiumri hapo nashndwa kung'amua

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Now i declare kwamba wewe si bure bali huyo domo chapati anakupumulia mgongoni. Yes i said it.

HOW MUCH DO I OWE YOU Matola?
please send an invoice!please do!
thank yu!very much
ahahahhahhahahha usiniitie Kiranga tu
 
Last edited by a moderator:
Heaven on desert a.k.a mamaa diamond a.k.a penny oh no no wema sepetu, oh gosh kidoti
 
Last edited by a moderator:
Hukupata picha bora ya Diamond zaidi ya hiyo uliyoitumia ?
 
Ha ha ha watu bwana unaweza kujinyonga bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…