Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Modo maarufu na muigizaji chipukizi nchini, Hamisa Mobeto amejifungua mtoto wa kike. Staa huyo anayechipukia amejifungua ivi karibuni na kuwashangaza wengi kwani mimba hiyo ilikuwa na usiri mkubwa tofauti wafanyavyo mastaa wengine (zari )

Hongera sana, duuh Ila hii mimba wambea wengi walikuwa hawajaipata, khaa!! Utatuua kwa presha aisehh loh, haya sasa nawapa assignment wambea wenzangu kumtambua au kumtaja baba mtoto wa Hamisa.

Cc: Dinazarde Heaven on Earth rubii geniveros nifah miss strong Madame B Evelyn Salt Madame S mshana jr Money Stunna Matola
 
Attachments

  • 1428736926280.jpg
    1428736926280.jpg
    52.8 KB · Views: 5,345
Tumbo hata halija tepweta lilikua tight hongera Hamisa Mungu akukuzie
 
Hapo ndipo napowashangaa binadam, kufurahia kuzaa nje ya ndoa, hata vitabu vya dini haviruhusu lkn kutwaa kuchekeleaa na kuona fahari, kua na mtoto wa haram
Hii teknolojiaa nakuambia itatutoaa kamasii wallahi tena,

Nilisemaga kuhusu hili, ila akina nifah na geniveros wakanichamba eti kuzaa nje ya ndoa ndio habar ya mujini, wakati wanazaa watoto haramu, wanawapa shida tu viumbe visivyokuwa na hatia
 
Last edited by a moderator:
Tumbo bichi hadi raha, sio tumbo la zari ,kashiba mtori anadaganganya mimba

Yani liko vzuri sio la bibie limetepweta ka mlenda sijawahi ona mwenye mimba akawa na tumbo design Ile aisee
 
Yani liko vzuri sio la bibie limetepweta ka mlenda sijawahi ona mwenye mimba akawa na tumbo design Ile aisee

Mimi sio mwanamke lakini nikiangalia tumbo la zari tu najua kabisa sio mimba.

Mastaa wanamnanga uko insta, wanatunisha matumbo yao na wenyewe wanasema wameshiba ugali na maji kwa wingi, hahahah hahahahh
 
Nilisemaga kuhusu hili, ila akina nifah na geniveros wakanichamba eti kuzaa nje ya ndoa ndio habar ya mujini, wakati wanazaa watoto haramu, wanawapa shida tu viumbe visivyokuwa na hatia

Naadhani swala lilokoo hapa nikutokujitambua, kuto wasikiliza wazazi wake, nakujifanyaa wamekua hivyo hakuna wakuwawlezaa kitu, sawa hatukataii ila akumbuke mwanamke kuzaa kabla ya ndoa ni Mtoto haramu, halafu pia nikufunga baadhi ya riziki kwa mikono yake, kaanza na huyo keshoo atakuja na mwingine Kama yule Wa RADIO YA WATUUUUU
 
Last edited by a moderator:
Asiyekuwa na mwana afuge mbwa 🏃🏃🏃

hahaahaaa

mwanamke mimba babuu
mbwa wakafuge iringaa huko

Nilisemaga kuhusu hili, ila akina nifah na geniveros wakanichamba eti kuzaa nje ya ndoa ndio habar ya mujini, wakati wanazaa watoto haramu, wanawapa shida tu viumbe visivyokuwa na hatia

tabu gani sasa mimba yake,mtoto wake inahuuuuu ..?!!
 
Last edited by a moderator:
Hapo ndipo napowashangaa binadam, kufurahia kuzaa nje ya ndoa, hata vitabu vya dini haviruhusu lkn kutwaa kuchekeleaa na kuona fahari, kua na mtoto wa haram
Hii teknolojiaa nakuambia itatutoaa kamasii wallahi tena,

MUNGU NDO MWENYE KUHUKUMU
heri yake kuliko wanaolea mbwaa
 
Back
Top Bottom