Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

sure anavyotukanwa zari
rommy hadi kuitwa shoga kisa anamsaport zari
jamani nilijskia vibaya sana baas tu

teampwanya road si wajinga tu...yani hadi leo wanaona boss wao kaibiwa dai, wanaona zari kaingilia penzi, wanaona kasalitiwa pwumbavuz zao hawajui kama BMW ndo imemuharibia yote hayo
 
teampwanya road si wajinga tu...yani hadi leo wanaona boss wao kaibiwa dai, wanaona zari kaingilia penzi, wanaona kasalitiwa pwumbavuz zao hawajui kama BMW ndo imemuharibia yote hayo

yani eti mume wa mtu anaibiwaje sasa
jus mchepuko tu wakaanza kumtukana kajala
haya wakaleta bring back our wema
akarudishwa wanatukana
mbona hawana jema hawa jamani.,,!kosa la mondi kua na zari au maana wao km wamemzaa vile wanamchagulia wanawake
hv hawa watu wehuuu
 
anatia huruma na huenda ni kweli aloyasema make chibu kamtunzia siri hajasema hilo akaamua amseme penny tu kuwa alizitoa 2

Msijisahaulishe huyu alipataga mimba ya dimondo ikatoka sijui ilitolewa yy mwenyewe alisema alidundwa south na huyo dimondo.
 
aaa wapi sikuzaa na mme wa mtu na sijawahi kudate na mme wa mtu
na ht wala sisapoti kuzaa na mme wa mtu

Sasa hujui kwamba hapa kinachojadiliwa ni kuzaa, sasa uliposema kwamba kuzaa ni habari ya mjini si ungemalizia tu kwa kusema ndani ya ndoa, au wazae tu hata kama na mumeo?
 
Sasa hujui kwamba hapa kinachojadiliwa ni kuzaa, sasa uliposema kwamba kuzaa ni habari ya mjini si ungemalizia tu kwa kusema ndani ya ndoa, au wazae tu hata kama na mumeo?

km hajazaa na mme wa mtu
hivi we umeoa,unafata nini nje?
km si ufedhuli au kutojielewa...
umeoa tulia na mkeo
aachia bachelors wale gud tiii
 
ha ha ha dada ake wa kambo na wema mange nae alilaumu zari kua na dai eti soon baada ya kuachana wakati wema hajapona maumivu ha ha ha mupya wallah kumbe watu wakiachana inapaswa tungoje wapone maumivu ndo tuwe nao sa si tutangoja miaka mia nane
 
umeona eee
hhaahaaa mi wonder kwa kweli..!!!
yani wema apigwe p huko then dai weupe wake atoe na sabuni
kua ye kuweza eeehhhh...!!!
km walijua projekt sasa risechi juu
mi si tean daimond wala wema ila kwa hili
namsapoti mchizi mondi kinomaaaa
wao walijua atampata mwajuma ndala ndefu wa mwananyamala,wamtukane vizri..
wapiiiiiiiiii.......
aliyepewa kapewa toto zaryyyyyy
 
ha ha ha dai hajachukua dada fatu wa tandale....kachukua goma la maana miss zee ze boss
 
Tumekupokea kwa mikono minne, ngoja nimuite Dinazarde akuapishe viapo vyote kuwa utapenda umbea wakati wote na uko tayar kufungwa jela miaka 3 au kulipa faini kwa ajili ya umbea

Hhhaaaaaaaaaaa akaribiee
 
Last edited by a moderator:
Salute kwa kuonyesha malovee kwa my number one wako... ila kuzaa nje ni mkosi na inashusha heshima ya familia, chunguza utagundua asilimia nyingi ya wanawake waliozaa nje maisha yao hayaeweki tofauti na walioolewa

warumi toa neno "mkosi" mana huo mkosi analeta nani....? lakini swala la kuishushia heshima familia hilo la kweli.....mana wazazi wanaonekan wamekushindwa kwenye malezi ndiyo maana umezaa kabla ya ndoa......

lakini pia......kila mtu hakuna ambae anajua kama anaweza kuzaa kabla ya ndoa....na ndiyo maana Evelyn Salt amesema kuna sababu mbalimbali.....

nami nawapa big wale ambao kutokana na sababu mbalimbali wameamua kuzaa kuliko kuua.....mana kuua ipo kwenye amri 10 za Mungu ambazo amekataza.......ila kuzaa kabla ya ndoa sijaona kama ipo kwenye amri 10 za Mungu.....tafakali shukua tahadhari......
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…