Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

Mimi sio mwanamke lakini nikiangalia tumbo la zari tu najua kabisa sio mimba.

Mastaa wanamnanga uko insta, wanatunisha matumbo yao na wenyewe wanasema wameshiba ugali na maji kwa wingi, hahahah hahahahh

Hahahaaa,watz kwa wivu bwana? Mimi naamini ana mimba bwana kule sio kudanganya!
Ila binamu mbona nasikia ndomo bado anachepuka japo yupo na murembo Zari?
 
si kweli ile ni mimba sema wenzetu wenye hela ule mstari wa katikati mweusi wanafuta kwa vipodozi
wabongo tuacheni majungu

Ahahaa ahahah kwa hyo unataka kusema hamisa hana pesa ndo maana hajatoa mistari meusi?

Ukiona kitu watu zaidi ya kumi wanakitilia mashaka, basi jua kuna kitu, watu wengi sana wana mashaka na mimba ya zari
 
Hv binamu aunt ezekiel nae lini??mana ni kitambo
 
Ooh pole, ila hamisa bado mdogo sana tena mrembo, angetafuta maisha kwanza, maana maisha yake hayaeleweki, yani apo kuolewa labda na huyo baba watoto wake, mmh namuonea huruma, kuzaa kabla ya kutengeneza maisha vzur au kuolewa ni janga
 
Last edited by a moderator:

Usijali binamu. ..
Hivi atakua hajazaa na yule DJ kweli? Si unakumbuka ile siku aliyompamba?
 
Usijali binamu. ..
Hivi atakua hajazaa na yule DJ kweli? Si unakumbuka ile siku aliyompamba?

Atakuwa ndio huyo, namuonea huruma kweli, mtoto mdogo badala atafute pesa anakimbilia kuzaa maisha yake yenyewe anayajua,kesho ataanza kuandika insta baba watoto wake hatumi pesa ya matumizi,yani na huyo mtoto sijui atamleaje mama modo tena ,naona mtoto atatobolewa masikio akitimiza siku kumi na kuvalishwa vimini,wambea tupo apa tutayaona
 
Mtoto wa Aunty Ezekiel bado tu???

Mmmh!! Mwenzangu huyo cheusi dawa nae ata atumuelewi, maana hyo mimba toka mwaka jana naona ipo tu sijui kabeba jiwe na yeye khaaa ,maana hyo mimba nahis mwaka imepita sasa
 
Ahahaa ahahah kwa hyo unataka kusema hamisa hana pesa ndo maana hajatoa mistari meusi?

Ukiona kitu watu zaidi ya kumi wanakitilia mashaka, basi jua kuna kitu, watu wengi sana wana mashaka na mimba ya zari

shaka ilianza kwenye mahusiano mkasema projekt.
mimba nayo ni research au?!#
mwanamke mimbaaaaaaaaaaaaa
 
Mmmh!! Mwenzangu huyo cheusi dawa nae ata atumuelewi, maana hyo mimba toka mwaka jana naona ipo tu sijui kabeba jiwe na yeye khaaa ,maana hyo mimba nahis mwaka imepita sasa

Unaweza kuta keshajifungua tayari...make a follow up on it!
 
Hahahaaa,hata sijui wameona nini jamani maana naona wameamua kuzaa sasa.
Bado Lulu, Linah...
 
Mmmh!! Mwenzangu huyo cheusi dawa nae ata atumuelewi, maana hyo mimba toka mwaka jana naona ipo tu sijui kabeba jiwe na yeye khaaa ,maana hyo mimba nahis mwaka imepita sasa

Hahahaaa,nina hamu na mtoto wa Aunt balaa maana huyo Moze ana damu kali yule mwanae alozaa na mwengi anafanana naye copyright. Sasa huyu asipofanana naye sijui itakuwaje!
 
Kwa iyo mnashauri wawe wananyonga au??
 
Last edited by a moderator:
Kwa iyo mnashauri wawe wananyonga au??

Hahahaaa,mama nimegusa maslahi binafsi nini?..lol
Hakuna asiyejua kuzini ni dhambi hakuna dini yoyote inayoruhusu uzinifu! Sasa jamani kuzini tuzini weeee kabla ya ndoa na kuzaa tuzae pia? Kwangu mimi hapana.Ukizini zini kwa maslahi yako binafsi sio kubeba hadi mimba na kuzaa kabla ya ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…