Picha: Hatimaye Twiga wa utopolo pamoja na mlima Kilimanjaro wageuzwa mweusi

Picha: Hatimaye Twiga wa utopolo pamoja na mlima Kilimanjaro wageuzwa mweusi

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
NBC wame surrender kwa utopwinyo na kukubali kuharibu logo yao , inasikitisha sana ni vile Utopwenga hawana ga desturi ya kufikaga robo fainali ya champions league lasivyo wangejua ni lazima kuvaa nembo ya wadhamini wa CAf(total)wenye rangi nyekundu, watayajulia wapi wakati rounds za awali ndiyo saizi yao.

twiga.jpeg
 
Ni kitu cha kawaida tu duniani kote. Rangi asili ya timu inamaana kubwa. Angalia TeamViewer wale rangi yao ni bluu lakini kwa Manchester United wameweka red.
 
Cha msingi mpira uchezwe uwanjani, haya mengin ni mambo ya kiutawala tu
 
Waweke tu rangi yoyote wanayotaka
As long as inawaletea mafanikio
 
team viewer ni sponsor wa team siyo wa league ndiyo maana GSM logo yao ni nyekundu lakini utopoloni wameifanya nyeusi hatuongei watajijua wenyewe ingawa ddep in their hearts inajulikana nyekundu blue na white ndiyo rangi za logo za corporates
Ni kitu cha kawaida tu duniani kote. Rangi asili ya timu inamaana kubwa. Angalia TeamViewer wale rangi yao ni bluu lakini kwa Manchester United wameweka red.
 
team viewer ni sponsor wa team siyo wa league ndiyo maana GSM logo yao ni nyekundu lakini utopoloni wameifanya nyeusi hatuongei watajijua wenyewe ingawa ddep in their hearts inajulikana nyekundu blue na white ndiyo rangi za logo za corporatesu
Umeelewa ulichokiandika? Umezungumzia rangi asili ya logo kubadilihwa
 
Waacheni watoto wa mama wazee wa kudeka deka wapewe kila wanachotaka. Kuna kitu kimoja tu ambacho hawawezi kupewa nacho ni makombe.

Kama mpira hamna hata ukitaka twiga awe na macho kama ja chura haikusaidii kitu.
 
leteni na kombe la club bingwa, haya makombe ya kawaida hata Mtibwa wanayo.
 
Back
Top Bottom