CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Niwashamba Hao
Ni kitu cha kawaida tu duniani kote. Rangi asili ya timu inamaana kubwa. Angalia TeamViewer wale rangi yao ni bluu lakini kwa Manchester United wameweka red.
Laiti kama mngekuwa mnajuaga nini maana ya kufika group stages na robo fainali huko CAF champions league mngejua nini maana ya kuheshimu rangi ya sponsors lakini kwa kuwa level zenu ni za watoto wadooogo kausheni tuUnaumia ukiwa wapi, hawa ndio wenye nchi.
Wenzenu wanachukua makombe nyie ni habari zenu ni za makundi.Laiti kama mngekuwa mnajuaga nini maana ya kufika group stages na robo fainali huko CAF champions league mngejua nini maana ya kuheshimu rangi ya sponsors lakini kwa kuwa level zenu ni za watoto wadooogo kausheni tu
Umeelewa ulichokiandika? Umezungumzia rangi asili ya logo kubadilihwateam viewer ni sponsor wa team siyo wa league ndiyo maana GSM logo yao ni nyekundu lakini utopoloni wameifanya nyeusi hatuongei watajijua wenyewe ingawa ddep in their hearts inajulikana nyekundu blue na white ndiyo rangi za logo za corporatesu
Kwani NBc wakiweka matangazo yao kwenye gazeti la uhuru huwa Twiga anakuwa mwekundu?Niwashamba Hao
Hata noti ya 10,000 tembo ni mwekundu sijawahi kusikia wakilalamikaHivi kuna utopolo mwenye damu ya rangi ya kijani au njano[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
leteni na kombe la club bingwa, haya makombe ya kawaida hata Mtibwa wanayo.Waacheni watoto wa mama wazee wa kudeka deka wapewe kila wanachotaka. Kuna kitu kimoja tu ambacho hawawezi kupewa nacho ni makombe.
Kama mpira hamna hata ukitaka twiga awe na macho kama ja chura haikusaidii kitu.