PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

Machozi yamenitoka...
 
yani cdm wameazima uniform, silaha, magari, vyeo na mpaka sura ya rpc? kweli chadema wako juu hawana haya ya uchaguzi wakitaka ikulu asubuhi mchana wameipata
 
Kumbe mchange ka fwatuka mno. Asubuhi alikua ana leta tuhuma nzito eti cdm ndio walio ua mwangosi. Jamani mbona picha zipo wazi! Basi nae alete ushaidi wake hapa jamvini.
 
Huu mchezo wanahusika CDM ni UMFIA wa hali ya juu,ni sawa mtu umnyoshee Bastola alafu wa nyuma yako afyetue kisha ajifiche,fastae upige Picha na umwage mitandaoni.
 
Heche ametoa tamko sahihi...kama vyombo vya dola haviwezi kutenda kazi yao, wapenda nchi waweza jichukulia atua mkononi.

True Aisee! Hapa kama ni kujichukulia hatua mikononi kuhusu danadana ya kesi ya Wauaji wa Mwangosi, kwa kwei tumruhusu tu Joni Komba aendage MSITUNI!
 
Watanzania tuna upole wa kikondoo, mahali pengine hii ingekuwa mwisho wa amani. Hivi kweli haya yameshasahaulika? Lakini yuko Mungu aliyehai atawalipa sawa sawa na matendo yao.
 
Ninamuonea huruma Mchange maana hawa aliowataja wakiamua kumpeleka mahakamani sijui kama atakuwa na pakutokea.

Ni vyema picha hizi zirudi tena kwenye magazeti kuondoa ujinga wa magazeti ya propaganda ya uhuru na jambo leo.
 
dah Mwangosi pumzika kwa amani.

Mchange anakutumia kupata umaarufu huku
 
dah Mwangosi pumzika kwa amani.

Mchange anakutumia kupata umaarufu huku
Mwambie na Chadema wametengeza DVD ya kifo chako amempa Heche anaitembeza Ulaya kukusanya pesa.
 
Mwambie na Chadema wametengeza DVD ya kifo chako amempa Heche anaitembeza Ulaya kukusanya pesa.

nakumbuka Ritz ulikuwa ni moja ya waliomtetea Kamuhanda kwa alichofanya na sasa unamtetea Mchange kisa wote magamba wenzako
 
Last edited by a moderator:
nakumbuka Ritz ulikuwa ni moja ya waliomtetea Kamuhanda kwa alichofanya na sasa unamtetea Mchange kisa wote magamba wenzako
Mimi siyo wakili sina uwezo wa kutetea mtu wala siwezi, Chadema wanatumia kifo cha Daudi Mwangosi kukusanya pesa Ulaya familia ya marehemu hawapati hata shilingi.
 
Last edited by a moderator:
akuna cha kutumia kupata hela wala nini angeuwawa babakoo kwelii ungesema ivyoo au uccm ndo umewaharbu ubongo....... heeee it real pain hao askari ni watu kama watu wengine
 
kuna watu hawajawahi lisema jema humu jf hata jua likazama! Kweli mtu analipnga na hli la mwangosi kweli? Et yakwamba alijtakia kwenda kwenye kifo mana chadema ni kifa sawa kweli? Kuweni hata na chembe ya ukweli mioyoni mwenu mtatunukiwa k8jua ukweli na ukweli huo utawaweka huru. Upo wewehapo
 
Sasa aliyokuwa anayasema MCHANGE ni dhahiri yote ni uongo, huyu kijana ana laana cyo bure.Mtu mwenye akiri timamu asingesema hayo maneno aliyoyatoa yeye.
 
nilikuwepo eneo latukio, askari walipoanza kumpiga mwangos ndipo kikakimbia nakumwach Jemedari mwandishi mwenzetu Fransis akichukua video jins askari wwlivyokuwa wanatoa hukumu ya mwisho kwa marehemu
 
Mimi siyo wakili sina uwezo wa kutetea mtu wala siwezi, Chadema wanatumia kifo cha Daudi Mwangosi kukusanya pesa Ulaya familia ya marehemu hawapati hata shilingi.

Jikite kwenye hoja ..saa zingine jifunze kujenga hoja na sio propaganda zisizo na tija kila wakati.
 
Mwambie na Chadema wametengeza DVD ya kifo chako amempa Heche anaitembeza Ulaya kukusanya pesa.

Acha kumshadadia kamanda heche..mwanaume mzima unataja taja majina ya watu ovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…