Wacha hiyo, Mdogo wangu Ni afisa ugavi polisi, anapata shida kuli - concile accounts zake na wenzie kwa sababu wakubwa wanamletea invoice za vitu ambavyo hajawahi kupokea na kumwamrisha aidhinishe malipo.Sio kosa ilimradi ujiridhishe kwamba habari ni ya kweli pili iwe imetoka kwenye reliable source kama ina mashaka haina ushahidi wa kutosha na source haijulikani mute
inaumiza ila mwisho 25/10Inatisha sana.
Jana Daudi Mwangosi...kesho wahanga tutakuwa mimi na wewe.
Wana JF,
Naomba mniruhusu niweke picha zenye sura za walioshiriki kitendo hiki cha kihuni ambacho ni uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kama kamera yangu ilivyokinasa.
Nina picha ambazo zimechukuliwa zinazoonyesha walioshiriki na jinsi walivyoshiriki. Hata RPC alikuwepo eneo la tukio.
Mods, naomba msiunganishe thread yangu plz.
Picha nyingine nimezituma kwa watetezi wa haki za binadamu na video nimeziweka YouTube (sitatoa link kwa sasa).
Wanahabari, ni wakati wa kuonyesha umoja wetu dhidi ya udhalimu huu.
-----
Huyu askari alimwelekezea mtutu tumboni na kumsambaratisha marehemu. Ni wazi watu wa Iringa wanamfahamu askari huyu.
Pembeni ni shangingi la RPC, askari huyu naye kashuhudia kitendo hiki cha kikatili. Wanahabari tushirikiane kupiga kelele. Hapa walikuwa wamemaliza unyama wao wakimwondoa mwenzao aliyeumia eneo la tukio
Kama ni kesi, askari huyu anaweza kuhojiwa. Nimekata picha kusitiri mwili wa marehemu.
Marehemu kafa akipigania haki za wanahabari, ni wakati wa wanahabari kushirikiana vinginevyo wanasiasa wataendelea kutumia vibaya vyombo vya dola dhidi yetu.
..hivi kesi hii itaisha lini?
..serikali itailipa fidia familia ya Mwangosi kama ilivyofanya kwa familia ya Lt.Gen.Kombe?
..Je, Raisi Magufuli atatengua kupandishwa cheo na kumfukuza kazi kamanda wa polisi aliyekuwepo eneo la tukio siku Mwangosi ameuawa?
cc maggid, Pasco, Manyerere Jackton

Joka Kuu, heshima yako mkuu. Huu msiba unaniuma saaaana. Na wote walioichagua CCM uchaguzi uliopita simply walifurahia mauaji ya Mwangosi
Kamanda wa Polisi kipindi Mwangosi anauwawa, tayari kastaafu utumishi wa umma. Ni Ret. DCP kamuhanda..hivi kesi hii itaisha lini?
..serikali itailipa fidia familia ya Mwangosi kama ilivyofanya kwa familia ya Lt.Gen.Kombe?
..Je, Raisi Magufuli atatengua kupandishwa cheo na kumfukuza kazi kamanda wa polisi aliyekuwepo eneo la tukio siku Mwangosi ameuawa?
cc maggid, Pasco, Manyerere Jackton
Kamanda wa Polisi kipindi Mwangosi anauwawa, tayari kastaafu utumishi wa umma. Ni Ret. DCP kamuhanda